MKUU wa Mkoa wa
Kusini Pemba,Mhe. Hemed Suleiman Abdalla, akizungumza na wateja wa Bank ya NMB Kisiwani
Pemba, mara baada ya kumalizika kwa futari maalumu iliyoandaliwa na Bank hiyo
mjini Chake Chake.
MKUU wa Mkoa wa
Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akichukua futari maalumu iliyoandaliwa na
Bank ya NMB Tawi la Pemba, kwa wateja wake iliyofanyika mjini Chake Chake
MENEJA wa NMB kanda
ya Dar es Salam na Zanzibar Badru Iddi, akifungua Chupa ya Chai kuwawekea
viongozi wa Serikali, wakiongoza na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman
Abdalla katikati, katika futari maalumu iliyoandaliwa na Bank ya NMB kwa wateja
wake
WANANCHI mbali mbali
Kisiwani Pemba, wakipata futari maalumu iliyoandaliwa na Bank ya NMB Tawi la
Pemba, kwa wateja wake huko Chake Chake Pemba
WANANCHI mbali mbali
Kisiwani Pemba, wakipata futari maalumu iliyoandaliwa na Bank ya NMB Tawi la
Pemba, kwa wateja wake huko Chake Chake Pemba
MKUU wa Mkoa wa
Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, wakwanza kushoto akiwa na viongozi mbali
mbali wa Bank hiyo wakipata futari maalumu iliyoandaliwa na uongozi wa Bank ya
NMB Tawi la Pemba, kwa wateja wake Kisiwani Pemba na kufanyika mjini Chake
Chake
WAFANYAKAZI wa NMB
Kisiwani Pemba na Makao Makuu Tanzania bara, wakiungana na wananchi wa Kisiwa
Cha Pemba katika Futari maalumu, iliyoandaliwa na Bank ya NMB Kisiwani Pemba
MENEJA wa Bank ya NMB
Kisiwani Pemba Ahmed Nassor akitoa shukurani kwa wananchi na wateja wao
waliohudhuria katika futari maalumu iliyoandaliwa na Bank hiyo Kisiwani Pemba
MENEJA wa NMB Kanda
ya Dar es Salam Badru Iddi, akizungumzia mikakati yao kwa sasa katika
kuimarisha huduma kwa wateja wao, mara baada ya kumalizika kwa futari maalumu
iliyoandaliwa na Bank hiyo Chake Chake
WANANCHI mbali mbali
Kisiwani Pemba wakifuatilia kwa makini hutuba ya Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba,
Hemed Suleiman Abdalla mara baada ya kumalizika kwa futari maalumu
iliyoandaliwa na Bank ya NMB kwa wateja wake na kufanyika Chake Chake
MKUU wa Kitengo cha
wateja binafsi Bank ya NMB Omar Mtiga, akitoa taarifa fupi ya benk hiyo kwa
wateja wao mara baada ya kumalizika kwa futari maalumu, iliyoandaliwa na Bank
hiyo Kisiwani Pemba.
MKUU wa Mkoa wa
Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla na viongozi mbali mbali wa Bank ya NMB
Tanzania, wakiomba dua maalumu mara baada ya kumalizika kwa futari maalumu
iliyoandaliwa na Bank hiyo kwa wateja wake Kisiwani Pemba
MKUU wa Mkoa wa
Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akiwa katika picha ya pamoja na watendaji
mbali mbali wa Bank ya NMB Tanzania, mara baada ya kumalizika kwa futari
maalumu iliyoandaliwa na Bank hiyo kwa wateja wake Kisiwani Pemba
WAFANYAKAZI wa Bank ya NMB Kisiwani Pemba, wakiwa katika picha
ya pamoja na viongozi wao kutoka Makao Mkuu YA NMB Tanzania, mara baada ya
kumalizika kwa futari maalumu iliyoandaliwa na Bank hiyo kwa wateja wake
Kisiwani Pemba.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba.)
No comments:
Post a Comment