Habari za Punde

DK. KIGWANGALLA AFUNGUA WARSHA YA KITAIFA YA MAPITIO YA RASIMU YA SERA YA TAIFA YA UTALII YA MWAKA 2018

Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla akiteta jambo na mdau wa utalii nchini, Dk. Leaky Abdallah wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Mapitio ya Rasimu ya Sera ya Taifa ya Utalii ya mwaka 2018 iliyofanyika Jijini Dodoma leo
  Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla akiteta jambo na mdau wa utalii nchini, Dk. Leaky Abdallah wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Mapitio ya Rasimu ya Sera ya Taifa ya Utalii ya mwaka 2018 iliyofanyika Jijini Dodoma leo.
 Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi (katikati) akifurahia jambo na Naibu Katibu wa Wizara hiyo, Dk. Aloyce Nzuki (kulia) na Mkurugenzi wa Idara ya Utalii, Deogracious Mdam wakati Warsha ya Kitaifa ya Mapitio ya Rasimu ya Sera ya Taifa ya Utalii ya mwaka 2018 Jijini Dodoma leo.  (Picha na Hamza Temba-Wizara ya Maliasili na Utalii)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.