Habari za Punde

Kikao cha kamati za kukabiliana na maafa kwa shehia nne za Mkoa wa kusini Pemba

 AFISA Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Pemba, Ali Salim Ali Mata, akifungua kikao cha tathimi kwa kamati za Kukabiliana na maafa kutoka shehia nne za Mkoa wa Kusini pemba, huko katika ukumbi wa Tassaf Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA mipango Mkuu wa Kamisheni ya Kukabiliana na maafa Zanzibar, Haji Faki Hamdani akizungumza na wajumbe wa kamati za kukabiliana na maafa Pemba, kutoka shehia nne za mkoa wa Kusini Pemba, huko katika ukumbi wa Tasaf Chake Chake .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


WAJUMBE wa kamati za kukabiliana na maafa kutoka shehia nne za mkoa wa kusini Pemba, wakifuatilia kwa karibu tathmini ya kamati hizo, katika kikao cha pamoja kilichofanyika mjini chake chake .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.