OFISA mdhamini Wizara
ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Pemba,
Massoud Ali Mohamed, akitoa nasaha zake kwa Uongozi Mpya wa Wizara ya Vijana,
Sanaa, Utamaduni na Michezo Pemba, wakati wa hafala ya makabidhiano ya
watendaji kutoka wizara moja kwenda yengine, yaliyofanyika Gombani Chake Chake
Ofisa mdhamini Wizara
ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto Pemba, Khadija Khamis Rajab,
akisoma taarifa ya makabidhiano ya wafanyakazi wa idara ya vijana, ambao kwa
sasa wamehamia katika wizara ya Vijana, Sanaa, Utamaduni na Michezo Pemba,
hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika uwanja wa Gombani Chake Chake
Ofisa mdhamini Wizara
ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto Pemba, Khadija Khamis Rajab,
akisoma taarifa ya makabidhiano ya wafanyakazi wa idara ya vijana, ambao kwa
sasa wamehamia katika wizara ya Vijana, Sanaa, Utamaduni na Michezo Pemba,
hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika uwanja wa Gombani Chake Chake
OFISA mdhamini Wizara
ya Vijana, Sanaa, Utamaduni na Michezo Pemba, Fatma Hamad Rajab akizungumza na
watendaji wa idara mbali mbali za wizara hiyo, mara baada yan kukabidhiwa
watendaji hao kutoka wizara tofauti za awali, hafla iliyofanyika katika uwanja
wa michezo Gombani Chake Chake
OFISA mdhamini Wizara
ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale Pemba, Khatib Juma Mjaja, akimkabidhi Sera
ya Utamaduni na Michezo Ofisa Mdhamini Wizara ya Vijana, Sanaa, Utamaduni na
Michezo Pemba, Fatma Hamad Rajab makabidhiano hayo yaliyofanyika katika uwanja
wa Gombani Chake Chake.
MAAFISA wadhamini kutoka Wizara mbali mbali, wa kwanza kushoto
Ofisa mdhamini Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na
Utawala Bora Pemba, Massoud Ali Mohamed, wapili OFISA mdhamini Wizara ya
Habari, Utalii na Mambo ya Kale Pemba, Khatib Juma Mjaja, watatu OFISA mdhamini
Wizara ya Vijana, Sanaa, Utamaduni na Michezo Pemba, Fatma Hamad Rajab na Ofisa
mdhamini Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto Pemba, Khadija
Khamis Rajab, wakiomba dua baadha kukabidhi watendaji kwa Wizara mpya ya Vijana.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)
No comments:
Post a Comment