Habari za Punde

Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhisha Qur- an Juzuu 30 Zanzibar Yakifanyika Katika Masjid Jaamiu Zinjibar Mazizini

Mgeni Rasmin katika mashindano ya Kuhufadhisha Qur-0An Zanzibar Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akisalimiana na Amiri Mkuu wa Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur -An Zanzibar Mwalimu Suleiman Omar Ahmad (Mwalimu Sule) alipowasili katika viwanja vya Masjid Jaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar kuhudhuria Mashindano ya 26 ya Kimataifa ya Afrika Mashariki yalioandaliwa na Jumuiya hiyo. na kushirikisha Wanafunzi waliohifadhi Qur-An Juzuu 30 Hifdhi na Tashjee.
Sheikh Hemed Jabir Aliyan akisoma dua wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Kimataifa kwa Nchi za Afrika Mashari yalioandaliwa na Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-An Zanzibar. Jmla ya Nchi 9 zimeshiriki mashindano hayo yaliofanyika katika Masjid Jaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar. 
Washiriki kutoka Nchi za Kenya, Uganda, DRC- Congo, Comoro Rwanda Burundi,Malawi Tanzania na wenyeji Zanzibar. Mgeni Rasmin Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.
Mashindano hayo ya kuhifadhi Qur-An Juzuu 30 Hifdhi na Tasjee.
Waumini wa Dini ya Kiislam wakiitikia dua wakati wa ufunguzi wa Mashindano hayo ya Kuhifadhi Qur-An Juzuu 30 yalioandaliwa na Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-An Zanzibar yaliofanyika katika Masjid Jaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar.
Waumini wa Dini ya Kiislam wakiitikia dua wakati wa ufunguzi wa Mashindano hayo ya Kuhifadhi Qur-An Juzuu 30 yalioandaliwa na Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-An Zanzibar yaliofanyika katika Masjid Jaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar.
Waumini wa Dini ya Kiislam wakiitikia dua wakati wa ufunguzi wa Mashindano hayo ya Kuhifadhi Qur-An Juzuu 30 yalioandaliwa na Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-An Zanzibar yaliofanyika katika Masjid Jaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar.
Majaji wa Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhisha Qur-An Zanzibar wakifuatilia washiriki wa mashindano hayo wakati wakisoma Qur-An katika Masjid Jaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar, wakiongozwa na Jaji Kiongozi Khalid Mohammed Mrisho .
Watoa Aya wakitowa Aya kwa washiri ki wa Mashindano ya Kuhifadhi Qur-An Juzuu 30 Hifdhi yanayofanyika katika Masjid Jaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar. 
Mshiriki wa Kuhifadha Qur An Juzuu 30 kwa njia ya Hifdhi kutoka Zanzibar Mwanafunzi Salum Ameir Makame, akishiriki mashindano hayo yalioandaliwa na Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-An Zanzibar, Mshindi wa Pili ya Mashindano hayo na kuzawadiwa shilingi Milioni Moja na Laki Saba na Mfanya Biashara Maarufu Zanzibar Said Nassor Seif (Bopar) amemzawadia shilingi milioni moja na laki saba.
Mshiriki wa Kuhifadha Qur An Juzuu 30 kwa njia ya Hifdhi kutoka Burundi Mwanafunzi Niyonkuru Abdillah Kashindi,akishiriki mashindano hayo yalioandaliwa na Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-An Zanzibar, ameshika nafasi ya 8 na kuzawadiwa Shilingi laki Nne na Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-An Zanzibar na Mfanyabiashara Maarufu Zanzibar Ndg. Said Nassor Seif (Bopar) amemzawadia shilingi laki tano.
Mshiriki wa Kuhifadha Qur An Juzuu 30 kwa njia ya Hifdhi kutoka Uganda Mwanafunzi Wafula Habibu Sulaiman ameshika nafasi ya 4 na kuzawadiwa Shilingi laki Nne na Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-An Zanzibar na Mfanyabiashara Maarufu Zanzibar Ndg. Said Nassor Seif (Bopar) amemzawadia shilingi laki tano.
Mshiriki wa Kuhifadha Qur An Juzuu 30 kwa njia ya Hifdhi kutoka Malawi mwanafunzi,Ahmada Jelas Salad ameshika nafasi ya 9 na kuzawadiwa Shilingi laki Nne na Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-An Zanzibar na Mfanyabiashara Maarufu Zanzibar Ndg. Said Nassor Seif (Bopar) amemzawadia shilingi laki tano.
Mshiriki wa Kuhifadha Qur An Juzuu 30 kwa njia ya Hifdhi kutoka DRC Congo Mwanafunzi Mohammed Jumapili Sudeis ameshika nafasi ya 7 na kuzawadiwa Shilingi laki Nne na Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-An Zanzibar na Mfanyabiashara Maarufu Zanzibar Ndg. Said Nassor Seif (Bopar) amemzawadia shilingi laki tano.
Mshiriki wa Kuhifadha Qur An Juzuu 30 kwa njia ya Hifdhi kutoka Nchini Kenya Mwanafunzi Twahir Ali Alwi, ameshika nafasi ya kwanza ya mashindano hayo ya 26 ya kuhifadhi Qur-An na kuzawadia shilingi milioni mbili na Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-An Zanzibar na Mfanyabiashara Maaruf Zanzibar Ndg Said Nassor Seif (Bopar) amemzawadia shilingi milioni mbili na laki tano.










No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.