Habari za Punde

Mwenyekiti wa Taasisi ya Samael Academy And College Azungumzia Mafanikio ya Taasisi Hiyo Tangu Kuazishwa Kisiwani Pemba.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Samael Academy and College, akizungumza na Waandishi wa habari juu ya kuanzishwa kwa taasisi hiyo na kuanzishwa chuo kitakachotowa mafunzo ya ufundi ambayo yanalengo la kuwafanya Vijana waweze kujiajiri wenyewe na kupambana na Umaskini.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.