Habari za Punde

Jumuiya ya Uhifadhi wa Mazingira Kisiwani Pemba Waadhimisha Siku ya Mazingira Duniani Kwa Upandaji wa Miti.

WANACHAMA wa Jumuiya ya Ufugaji wa Samaki na Uhifadhi wa Mazingira Shehia ya Gando Wilaya ya Wete, waikishikiana na wafanyakazi wa CFP Pemba, wakichimba mashimo kwa lengo la kupanda miti ya mikoko, ikiwa nai siku ya mazingira duniani, ambapo miti 1900 imepanda katika Jangwa na Msanaka.
WANACHAMA wa Jumuiya ya Ufugaji wa Samaki na Uhifadhi wa Mazingira Shehia ya Gando Wilaya ya Wete, waikishikiana na wafanyakazi wa CFP Pemba, wakipanda miti katika jangwa la Msanaka katika siku ya mazingira duaniani, ambapo miti 1900 imepandwa katika jangwa hilo. .(Picha na Abdi Suleiman - PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.