Habari za Punde

Ofisa Mdhamini Wizara Ardhi , Nyumba , Maji na Nishati Pemba, Juma Bakar Alawi,akitowa ufafanuzi juu ya utafiti wa Miamba yenye tabia yakuwepo mafuta na taassisi husika inavyofanya uhamasishaji  kwa Wananchi mbali mbali .
Ofisa Mdhamini Wizara ya Habari , Utalii na Mambo ya kale Kisiwani Pemba, Khatib Juma Mjaja, akifunguwa mkutano kwa Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbai huko katika Ukumbi wa Nyaraka Kisiwani humo juu ya umuhimu wao katika kuwahabarisha Wananchi juu ya zoezi la utafiti wa Miamba inayo nasifa ya kuwepo na mafuta.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Brunswick Resousles ltd,  inayoshuhulika na utafiti wa mafuta na Gesi Zanzibar, Steven Lwendo, akizungumza na Waandishi wa habari mbali mbali Kisiwani Pemba , hawapo pichani juu upasasaji habari kwa Wananchi juu ya Suala hilo.

Baadhi ya Waandishi wa habari Kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini maelezo yanayotolewa na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Bruns wick Resousles Ltd, inayoshuhulika na uhamasishaji wa Wananchi juu ya zoezi la utafutaji wa miamba iliona na tabia ya kuwepo mafuta , Steven Lwendo  huko katika ukumbi wa nyaraka Pemba. Picha na Bakar Mussa-PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.