Habari za Punde

Taasisi ya Wanawake wa Kiislam Tanzania Yatoa Msaada wa Vyakula kwa Watoto Yatima Kisiwani Pemba.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Wanawake wa Kiislam Tanzania TAQWA Dkt.Salha Mohammed Kassim akizungumza na Wananchi na Walezo wa Watoto Yatima wa wanaolelewa na Jumuiya ya Tahafidhi Qur-an na Maendeleo ya Kiislam Ole Kisiwani Pemba.
Mkurugenzi Mtendaji Wa Taasisi ya TAQWA Tanzania Dkt Salha Mohamed Kassim, akimkabidhi mafuta mmoja ya watoto mayatima Kisiwani Pemba, ambapo zaidi ya kaya 400 zimepatiwa futari hiyo
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya TAQWA Tanzania, Dkt Salha Mohamed Kassim akimkabidhi futari mmoja ya wazee wanao lea watoto Mayatima Kisiwani Pemba, ambapo kaya zaidi ya 400 zimepatiwa futari hiyo


VIONGOZI wa Taasisi ya Wanawake waislamu Tanzania TAQWA, wakimuombea dua mmoja wa waasisi wa taasisi ya Tahafidhi Quran na Maendeleo ya Kiislamu Ole, Abdalla Mohamed Kassim ambaye kwa sasa ni Mgonjwa
 MOJA ya Gari ya Abiria ikipakia futaria za watoto mayatima iliyotolewa na Taasisi ya TAQWA Tanzania, ambapo zaidi ya kaya 400 zimepatiwa futari hiyoNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.