Habari za Punde

Gari ya Kubebea Mizigo Ikiliondoa Gari Lililopata Ajali katika Barabara ya Migombani Zanzibar.

Gari la kubebea mizigo l;ikilipakia gari lenye nasha za Usajili Z 685 HJ lililopata akali katika barabara ya migomba, katika ajali hiyo hakuna Mtu aliyefariki. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo imesababishwa na mwendo kasi. 
Wananchi wakiwa katika moja ya gari iliopata ajali hiyo lenye namba za usajili Z352AZ,   wakiangalia moja ya gari iliopata ajali katika barabara ya migombani likipakiwa katika gari ya mizigo kuhamishiwa kituo cha polisi usalama barabarani malindi Zanzibar kwa uchunguzi zaidi. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.