Habari za Punde

Mbio za Marathon zafanyika Pemba kutoka Konde hadi Gombani

MSHINDI wa Kwanza katika mbio ndefu za Kilomita 42 kutoka Konde hadi Gombani, Beatus Stevin akipokea zawadi yake ya kikombe, kutoka kwa afisa mdhamini Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale  Pemba, Khatib Juma Mjaja,(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.