Habari za Punde

Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali Afungua Mafunzo ya Kuwawezesha Wajasiriamali Kutumia Mtando Kufanya Biashara E- Ecommerce Yalioandaliwa na Kampuni ya DHL Tanzania.

Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali akifungua mafunzo ya Siku moja kuhusiana na Vifungashio vya Bidhaa zao na Kutumia Mitando kufanya biashara hiyo kwa Mataifa Mbalimbali Duniani kama ijulikanayo E-Commerce, Mafunzo hayo yameandaliwa na Kampuni ya kusafirisha vifurushi ya DHL, yaliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hytta na kuwashirikisha Wajasiriamali kutoka Unguja na Pemba. 


 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.