Habari za Punde

Ziara ya Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Mbarali Mkoani Mbeya leo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkuu wa Kampuni ya inayozalisha mchele Nchini Bwana Nillard Chawdry wakati wa ziara yake kutembelea kampuni hiyo ya Kapunga Rice Project Ltd ,
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia mchele unaozalishwa na kampuni ya Kapunga Rice Project Ltd , kulia ni Mkuu wa kampuni hiyo nchini Bw. Nillard Chawdry akimpa maelezo Makamu wa Rais namna wanavyotumia teknolojia ya kisasa katika kukoboa na kufungasha mpunga.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia mchele unaozalishwa na kampuni ya Kapunga Rice Project Ltd , kulia ni Mkuu wa kampuni hiyo nchini Bw. Nillard Chawdry akimpa maelezo Makamu wa Rais namna wanavyotumia teknolojia ya kisasa katika kukoboa na kufungasha mpunga.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.