Habari za Punde

Michuano ya Uwazi Mpira wa Kikapu Wilaya ya Mjini Kati ya Polisi na Rangers Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Maisara Zanzibar.

Mchezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar akiruka juu kuifungia Timu ya ya Polisi wakati wa Mchezo wao wa Open Cup Wilaya ya Mjini mchezo uliofanyika katika viwanja vya maisara.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.