Habari za Punde

Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Makaazi Mbweni Zanzibar za Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF. Hatua ya Kwanza ya Majengo Matano Umekamilika Ujenzi Wake.

Mradi wa Nyumba za Makaazi za Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF.Hatua ya kwanza ya Ujenzi wa Majengo matano ya Ghora yamekamilika na yakiwa katika hatua za mwisho za kukamilisha ujenzi wake kuweza kukabidhiwa kwa Wananchi walioomba kununua Nyumba hizo. Kama zinavyoonekana pichani zikiwa katika mazingira mazuri na ya kupendezesha eneo hiyo ya mbweni Zanzibar.   
Majo ya Magorofa ya Mradi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF likiwa limekamilika ujenzi wake kama linavyoonekana pichani. 
Fenecha  ya moja ya Nyumba hizo ikiwa katika sehemu yamapumziko kama inavyoonekana pichani. 
Sehemu ya Jiko la Nyumba hizo.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.