Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe.Dkt. Khalid Mohammed Salum akitembelea Mradi wa Nyumba za Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF, Nyumba hizo zinajengwa katika maeneo ya mbweni Zanzibar, Jumla ya magorofa 15 yanatarajiwa kujengwa katika eneo hilo kwa sasa Majengo Matano yako katika hatua za mwisho ya ujenzi wake zinazojengwa na Kampuni ya Ujenzi ya Dezo kutoka Tanzania.Na mengi matano yako katika hatua ya umaliziaji wake kukamilika kwa ujenzi wake.
KARMA YA UONGOZI: SOMO KWA WANAOHAMASISHA MAANDAMANO
-
Na Mwandishi Wetu
NAJIULIZA maswali ya msingi, kama raia mwenye tafakuri na uzoefu katika
uongozi: je, wanaohamasisha maandamano ni wapinzani, wanaharakat...
10 hours ago

No comments:
Post a Comment