Habari za Punde

Wanafunzi wa Skuli ya Msingi Wakiwa Katika Kituo cha Daladala Michezani Wakisubiri Usafiri.

Wanafunzi wa Skuli za Msingi wakiwa katika kituo cha daladala michezani wakisubiri kuruhusia kupanda gari kama walivyokutwa na mpiga picha wetu akiwa katika matembezi ya mitaani. Kuna baadhi ya makonda wa daladala wanakataa kuwachukua Wanafunzi kwa kisingizio cha nauli yao kuwa ndogo na kuchukua nafasi kushindwa kupakia abiria wanaolipia nauli ya shilingi mia tatu kwa safari na wanafunzi hulipa shilingi 100/=  
Hutumia muda mwingi katika vituo wakati wa kurudi nyumba na kwenda shule huchelewa. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.