Wageni kutoka sehemu mbalimbali wanaofika Zanzibar kwa ajili ya Utalii hupata fursa kjionea na kuangalia sehemu za Historia ya Zanzibar katika maeneo ya Mji Mkongwe wa Unguja Zanzibar kama wanavyoonekana wakipata maelezo ya moja ya majengo ya historia katika mtaa wa shangazi Unguja wakipata maelezo ya nyumba ya Marcury House.
Tunduru: Viuatilifu kuongeza uzalishaji wa Korosho Tunduru
-
Tunduru-Ruvuma.
Baadhi ya wakulima wa zao la korosho katika Tarafa ya Nakapanya Wilaya ya
Tunduru Mkoani Ruvuma,wamepongeza mpango wa Serikali wa kutoa b...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment