Habari za Punde

Timu ya Mlandege Yafanikiwa Kuingia Nusu Fainali Kombe la Ujamma Sports Club Baada ya Kuifunga Timu ya Malindi Katika Mchezo wa Robo Fainali Kwa Bao 1-0, Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Viongozi wa Timu ya Mlandege na Malindi wakifuatilia mchezo wao wa Robo Fainali ya Michuano ya Bonaza la Timu ya Ujamaa Sports Club uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Mlandege imeibuka kidedea baada ya kuifunga Malindi kwa bao 1-0. na Kufanikiwa kuingia Fainali ya Michguano hiyo.

Timu ya Malindi itamenya katika mchezo wa Nusu Fainali na Timu ya Taifa ya Jangombe baada ya Jangombe baada ya kuifunga Timu ya Raskazone katika mchezo wa Robo Fainali uliofanyika wiki iliopita.
Mgeni rasmin katika mchezo wa Robo Fainali Michuano ya Bonaza la Timu ya Ujamaa Sports Club Raza Lee akisalimiana na kamisaaa wa mchezo huo Musin Kamara kabla ya kuaza kwa mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mgeni rasmin wa mchezo wa Robo Fainali Michuano ya Bonaza la Miaka 61 ya Timu ya Ujamaa Raza Lee akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Malindi Spotrs Club kabla ya kuaza kwa mchezo huo wa Robo Fainali uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao. 1-0.
Mgeni rasmin wa mchezo wa Robo Fainali Michuano ya Bonaza la Miaka 61 ya Timu ya Mlandege,  Raza Lee akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Malindi Spotrs Club kabla ya kuaza kwa mchezo huo wa Robo Fainali uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao. 1-0.
Mgeni Rasmin Raza Lee akiwa na Viongozi wa Timu ya Malindi na Mlandege na Viongozi wa Kamati ya Muda ya  ZFA, wakitowa salamu baada ya kuzikagua Timu hizo kabla ya kuaza mchezo wa Robo Fainali ya Michuano ya Bonaza la Timu ya Ujamaa Sports Club kutimiza miaka 61 tangu kuazishwa kwake. 
Beki wa Timu ya Mlandege akiondoa mpira golini kwake wakati wa mchezo wao wa Robo Fainali Bonaza la Timu ya Ujamaa kutimiza miaka 61 tangu kuazishwa kwake mchezo uliuofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar,. Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo bao 1-0.


Viongozi wa Timu ya Malindi na Wachezaji wao wakiwa na huzuni baada ya Timu yao kukubali kipigo cha Bao 1-0 dhidi ya Timu ya Mlandege, wakati wa mchezo wa Robo Fainali uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.