Habari za Punde

Vikundi Vya Utamaduni na Sanaa Zanzibar Vikitowa Burudani Katika Viwanja Vya Maisara Katika Tamasha la Kwanza la Urithi wa Mtanzania

 Wasanii wa Kikundi cha Sanaa Zanzibar wakitowa burudani wa moja ya ngoma ya Asili ya Msewe katika viwanja vya maisara katika maonesho ya Tamasha la Kwanza la Urithi wa Mtanzania linalofanyika katika viwanja hivyo jioni hii. 
Wasanii wa Kikundi cha Sanaa Zanzibar wakicheza ngoma ya Mwanandege jioni hii wakionesha Utamaduni wa Zanzibar katika Maonesho ya Tamasha la Kwanza la Urithi wa Mtanzania linalofanyika katika viwanja hivyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.