Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Awasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Akitokea Nchini China leo.

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitoka nchini China, Septemba 9, 2018 alikomwakilisha Rais  John Magufuli kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing hivi karibuni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.