Habari za Punde

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais MBM Mhe. Issa Gavu Azungumza na Ujumbe wa Taasisi ya China Leo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu)-(katikati)alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Taasisi ya "China National Research Insitute of Food and Fermantation Industries Corporation Ltd" inayotoa mafunzo ya Mapishi na Ukarimu kwa  watendaji Mali Mali nchini  ulioongozwa na Msaidizi Rais wa taasisi hiyo   Bi.Luo Yangin (wa tatu kushoto) walipofika Ofinini kwake Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.