Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi
mbalimbali wa Serikali, Mawaziri, Viongozi wa dini na Chama akivuta utepe
kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Daraja la Mto Sibiti lenye urefu
wa mita 82 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 25 katika eneo la mto
Sibiti Mpakani mwa Simiyu na Singida.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali, Mawaziri, Viongozi wa dini na Chama akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 25 katika eneo la mto Sibiti Mpakani mwa Simiyu na Singida.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na
viongozi mbalimbali wa Serikali, Mawaziri, Viongozi wa dini na Chama akikata
utepe kuashiria uzinduzi wa mitambo itakayotumika katika mradi huo wa ujenzi wa
Daraja la mto Sibiti.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Sibiti, Maswa na Singida katika eneo la mto Sibiti kabla ya kuweka jiwe la
msingi ujenzi wa Daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82 pamoja na barabara
zake unganishi zenye urefu wa km 25.
Wanachi
mbalimbali kutoka Singida, Maswa, Sibiti wakishangilia wakati wa hotuba ya Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika eneo la
Sibiti mpakani mwa mikoa ya Simiyu na Singida.
Kikundi cha ngoma
cha Lusanya kutoka Singida kikitumbuiza katika sherehe hizo.
Sehemu ya Daraja la
mto Sibiti lenye urefu wa mita 82 upana
mita 10.5 linalounganisha kati ya mikoa ya Simiyu na Singida kama linavyoonekana
ambapo ujenzi wake umefikia asilimia 70. Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment