Waziri asiekuwa na Wizara maalumu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe.Said Soud Said, akizungunza na Ofisa Misitu Wilaya ya Micheweni katika Kitalu cha Mikarafuu kilichopo Wingwi Wilaya ya Micheweni Pemba.
Kitalu cha Mikarafuu cha Serikali kilichopo Wingwi Wilaya ya Micheweni Pemba.
PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.
No comments:
Post a Comment