Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar Uwasilishaji wa Ripoti ya Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Utekelezaji wa Maagizo ya Serikali.

Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan Juma akiongoza Mkutano wa Kumi na Moja Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar. wakati wa kuwasilisha Ripoti ya Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar wakati wa kuwasilishwa kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. 
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed akiwasilisha Hutuba ya Ripoti ya Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar ya Utekelezaji wa Maadizo ya Kamati ya Kuchunguza na Kudhibiti Hesabu za Serikali (PAC) kwa mwaka 2017/2018.


Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Ndg Khamis Mussa wakizunguma wakiwa nje ya ukumbi wa Mkutano wa Kumi na Moja wa Baraza la Tisa baada ya kuahirishwa kwa mapumziko ya mchana.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.