Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Ahutubia Katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi Vya Wakulima - MVIWATA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimina na Mlezi wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA) na Mkuu wa Mkoa Mstaafu, Stephen Mashishanga wakati alipowasili kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro kumwakilisha Rais, John Pombe magufuli katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya MVIWATA, Oktoba 3, 2018.  Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Stephen Kebwe.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu unga na bidhaa mbalimbali zinaotokana na zao la soya kutoka kwa Julie Bwire wa Mvomero (kushoto) kabla ya kuhutubia katika Maadhimisho ya miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA) kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa mkulima wa uyoga, Maria Shindika wa Mvomero (kulia) kabla ya kuhutubia katika  Maadhidhimisho ya Miaka 25 ya  Mtandao wa Vikundi vya Wakulima (MVIWATA) yaliyofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA) kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA) kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro
Baadhi ya washiriki wa Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi vya Wakulima (MVIWATA) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye  uwanja wa Jamhuri  mjini Morogoro
Baadhi ya washiriki wa Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi vya Wakulima (MVIWATA) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye  uwanja wa Jamhuri  mjini Morogoro
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Uswiss nchini, Florence Tinguely Mattli katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi vya Wakulima (MVIWATA) kwenye uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro, Octoba 3, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.