Habari za Punde

Mchezo wa Fainali ya Tamasha la Bonaza la Timu ya Ujamaa Kuadhimisha Miaka 67 Tangu Kuazishwa Mwaka 1957 Zanzibar.,

Makamu wa Pili w Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Sif Ali Iddi ikiwa na Viongozi wa Serikali na wa Timu ya Ujamaa Sports Club wakifuatilia mchezo wa Fainali ya Tamasha la Bonaza la Ujamaa kuadhimisha miaka 61 tangu timu hiyo kuazishwa Zanzibar, mchezo huo umezikutanisha Timu za Mlandege na Ujamaa mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Ujamaa imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0. na kulichukuwa Kombe hilo la Ujamaa Bonaza Cup kwa mwaka 2018. 
Wachezaji wa zamani wa Timu ya Ujamaa wakifuatilia mchezo huo wa Fainali ya Tamasha la Bonaza la Timu ya Ujamaa kuadhimisha Miaka 61 ya Timu hiyo Tangu kuazishwa kwake Zanzibar, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Ujamaa imeifunga Timu ya Mlandege kwa Bao 1-0.

Mchezaji wa Timu ya Ujamaa na Mlandege wakiwa hewani wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Fainali ya Kombe la Tamasha la Bonaza la Timu ya Ujamaa kuadhimisha Miaka 61 ya Timu yao tangua kuazisha Visiwani Zanzibar.
Beki wa Timu ya Ujamaa akiwa na mpira huku mshambuliaji wa Timu ya Mlandege akiwa tayari kuchukua mpira wakati wa mchezo wao wa Fainali ya Tamasha la Bonaza la Ujamaa mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Ujamaa imeshinda bao 1-0.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.