Habari za Punde

Michuano ya Kombe la FA Kati ya Mlandege na KMKM Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya KMKM Imefanikiwa Kuingia Nusu Fainali kwa Ushindi wa Peneti 4-2.

Mshambuliaji wa Timu ya Mlandege Said Khamis akijaribu kumpita beki wa Timu ya KMKM Richard Jovit wakati wa mchezo wao wa Kombe la FA Robo Fainali uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya KMKM imeshinda mchezo huo kwa penenti 4-2. Na kusonga mbele hatua ya Nusu Fainali ya Kobe la FA.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.