Habari za Punde

Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd (PBZ) Yakabidhi Msaada wa Saruji Kwa Ajili ya Ujenzi wa Skuli ya Sekondari li ya Mtambile Kisiwani Pemba.

KATIBU wa Kamati ya Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Mtambile ambaye pia ni mwalimu wa skuli hiyo, Abrahmana Hassan Bakari, akitoa taarifa ya ujenzi wa skuli ya ghorofa ya mtambile jinsi harambee inayoendelea.
 NAIBU mkurugenzi  wa PBZ Zanzibar Khadija Bakari Shamte, akizungumzia na wazazi, walimu na Viongozi wa Kamati ya Ujenzi ya Skuli ya Mtambele, kabla ya kukabidhi mifuko 100 ya saruji iliyotolewa na PBZ kwa Skuli hiyo.
 NAIBU Mkurugenzi wa PBZ Zanzibar Khadija Bakari Shamte kulia akimkabidhi mifuko 100 ya saruji, mmoja ya viongozi wa kamati ya ujenzi ya skuli ya sekondari ya mtambile, ambaye jinalake halikupatikana hafla iliyofanyika katika ghala la skuli hiyo la kuhifadhia saruji.
NAIBU Mkurugenzi wa BPZ Zanzibar Khadija Bakari Shamte, akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa skuli ya Sekondari Mtambile, baada ya kupiga picha ya pamoja.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.