Timu shiriki Michuano ya Ligi Kuu ya Mchezo wa Netiboli Kanda ya Unguja wakipita mbele ya Mgeni Rasmin Mjumbe wa Kamati ya Olimpiki Tanzania na Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Bi. Tabia Maulid, uzinduzi huo umefanyika katika viwanja vya Gymkhana Zanzibar.
SACP NGOLE AKAGUA MIFUMO YA KIUSALAMA KATIKA MGODI WA ANGLO - SONGWE.
-
Mkuu wa Kitengo cha Usalama wa Miundombinu Muhimu Kamishna Msaidizi
Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Ngole kutoka Makao Makuu ya Polisi
Dodoma amekagua ...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment