Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Awasalimia Wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Rweikiza Bukoba Vijijini.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiwa katika ziara yake Mkoa wa Kagera akisalimiana na watoto wa Shule ya Awali na Msingi ya Rweikiza  wakati alipotembelea Shule hiyo akiwa katika ziara ya Bukoba  Vijijini mkoani Kagera, Oktoba 9, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.