Habari za Punde

Maadhimisho Siku ya Takwimu Afrika Yaadhimisha Zanzibar Katika Ofisi za Takwimu Mazizini Zanzibar Kitaifa.

Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.Bi. Mayasa Mahfudha akitoa hotuba kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini mjini Unguja ambapo ujumbe wa Mwaka huu ni "Takwimu Rasmi zenye ubora wa hali yajuu katika kuhakikisha Uwazi,Utawala bora na maendeleo jumuishi".
Mgeni Rasmi Katibu Mtendaji Tume ya Mipango.Ndg. Juma Hassan Juma akitoa hotuba ya Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini mjini Unguja ambapo ujumbe wa Mwaka huu ni "Takwimu Rasmi zenye ubora wa hali yajuu katika kuhakikisha Uwazi,Utawala bora na maendeleo jumuishi"
 Mwenyekiti wa Bodi ya Takwimu Dkt,Said Gharib Bilali akitoa neno la Shukrani katika Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini mjini Unguja ambapo ujumbe wa Mwaka huu ni "Takwimu Rasmi zenye ubora wa hali yajuu katika kuhakikisha Uwazi,Utawala bora na maendeleo jumuishi.
Baadhi ya Wageni Waalikwa waliohudhuria katika Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini mjini Unguja ambapo ujumbe wa Mwaka huu ni "Takwimu Rasmi zenye ubora wa hali yajuu katika kuhakikisha Uwazi,Utawala bora na maendeleo jumuishi"

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.