Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mfanyabiashara Rostam Aziz Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mfanyabiashara Rostam Aziz Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mfanyabiashara Rostam Aziz mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mfanyabiashara Rostam Aziz mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa TCD
ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia aliyefika Ikulu
jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na
Mwenyekiti wa TCD ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James
Mbatia Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Mwenyekiti
wa TCD ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia kabla ya
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa TCD
ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwanasiasa
mkongwe John Shibuda ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa Baraza
la Vyama vya Siasa nchini John Shibuda mara baada ya mazungumzo yao Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mwanasiasa Mkongwe
wa Chama cha UDP John Cheyo Ikulu jijini Dar es Salam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwanasiasa Mkongwe wa
Chama cha UDP John Cheyo Ikulu jijini Dar es Salam.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment