Habari za Punde

ZSTC yatoa msaada wa mashuka

 Mkurugenzi Tiba Hospitali ya Mnazi mmjo Dk,Juma Salum Mbwana kushoto akiwa pamoja na Katibu Wa shirika la Taifa la Biashara Zanzibar ZSTC Ali Hilal Vuai wakionesha moja ya mashuka yaliotolewa msaada na Shirika hilo  kwa Hospitali mbalimbali za Wilaya Zanzibar.
-Mkurugenzi Tiba Hospitali ya Mnazi Mmjoa Dkt,Juma Salum, Mbwana kulia akikabidhiwa mashuka na Katibu wa Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar ZSTC Ali Hilal Vuai yaliyotolewa msaada na shirika hilo kwa Hospitali mbalimbali za Wilaya Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.