Habari za Punde

Ujumbe wa Mfuko w Khalifa Fund wa Abu Dbabi Wawasili Zanzibar Kwa Kutekeleza Programu Mbalimbali za Kimaendeleo na Kuwawezesha Vijana Kupata Kazi za Ujasiriamali.

Katibu Mkuu Wizara ya Biasharana Viwanda Zanzibar Ndg. Juma Ali Juma, akisalimiana na Ofisa wa Mfuko wa Khalifa Fund wa Umoja wa Falme za Nchi za Kiarabu wenye Makamo yake Makuu Abu Dhabi Ndg Abdulah Al Jarwani, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwa ziara ya Siku Tatu Zanzibar. 

Afisa wa Mfuko wa Khalifa Fund Ndg. Ali Al Saadi, akisalimiana na Maofisa wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwa ziara ya Siku Tatu Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Ndg. Juma Ali Juma, akizungumza na Ujumbe huo wa Watu watatu kutoka Mfuko wa Khalifa Fund, uliopowasili Zanzibar katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ziara maalum ya Siku Tatu, wakiwa katika ukumbi wa mapokezi wa VIP Zanzibar.kulia Ndg. Abdulah Al Jarwani, Ndhg. Ali Al Saadi na Kiongozi wa Ujumbe huo Mkurugenzi wa Mfuko wa Khalifa Fund. Ndg Nizar Cheniour na kushoto Ujumbe wa Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.   
Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Ndg. Juma Ali Juma, akizungumza na Ujumbe huo wa Watu watatu kutoka Mfuko wa Khalifa Fund, uliopowasili Zanzibar katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ziara maalum ya Siku Tatu, wakiwa katika ukumbi wa mapokezi wa VIP Zanzibar.kulia Ndg. Abdulah Al Jarwani, Ndhg. Ali Al Saadi na Kiongozi wa Ujumbe huo Mkurugenzi wa Mfuko wa Khalifa Fund. Ndg Nizar Cheniour
Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Ndg. Juma Ali Juma, akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali kuhusiana na ujio wa Ujumbe huo wa Mfuko wa Khalifa Fund, ulipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kwa ziara maalum ya sikun tatu Zanzibar.
Mkurugenzi wa Mfuko wa Khalifa Fund, Ndh Nizar Cheniour akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na ujio wao Zanzibar kusaida Sekta mbalimbali za Maendeleo Zanzibar na kuwawezesha Vijana katika masuala ya Ujasiriamali na kuwawezesha kiuchumi. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.