Habari za Punde

Wananchi Wakipata Huduma za Kibenki Katika Maonesho ya Tamasha la Biashara Maisara Kupitia Benki ya Watu wa Zanzibar. Ltd. Katika Viwanja Vya Maisara

Mfanyakazi wa PBZ akitowa huduma kwa Mwananchi aliyetembelea banda lao katika Viwanja vya Maonesho ya Biashara Maisara Zanzibar. kupata hudama za PBZ katika viwanja hivyo.
Wananchi wakipata huduma za Kibenki katka Banda la Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd, wakati wa Tamasha la Biashara linalofanyika katika viwanja vya Maisara Zanzibar. kutoka kwa Mfanyakazi wa PBZ.  
Mfanyakazi wa PBZ akitowa huduma kwa Mwananchi aliyetembelea banda lao katika Viwanja vya Maonesho ya Biashara Maisara Zanzibar. 
Afisa Mwandamizi wa Masoko wa PBZ akitowa maelezo kwa Wananchi waliofika kutembelea Banda la Maonesho la PBZ katika viwanja vya Maisara wakati wa Tamasha la Maonesho ya Biashara Zanzibar hufanyika kila mwaka ifikapo january.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.