Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, Afanya Ziara Wilaya ya Mjini na Kuweka Jiwe la Msingi Tangi la Maji Mnara wa Mbao Kilimani Zanzibar.leo 12-2-2019.

Muonekano wa Mradi wa Mnara wa Tangi la Maji Safi na Salama Kilimani Mnara wa Mbao linalojengwa kwa kiwango cha kisasa na Kampuni ya Kichina ya Stecol, lililowekwa jiwe la msingi leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya Mjini Unguja leo.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.