Habari za Punde

Kuapishwa Kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu Walioteuliwa Hivi Karibu na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein. Ikulu Zanzibar.

 
Mawaziri walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kutoka kushoto Waziri Mpya wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Ramia Mohammed Abdiwawa, kabla ya Uteuzi huo alikuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Ushirikiano wa Kimataifa na Fedha na Uchumi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mhe. Haroun Ali Suleiman,kabla alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri, kabla alikuwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Khamis Juma Mwalim. kabla alikuwa Naibu Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais ya Katiba,Sheria na Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, akisalimiana na Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum MBM Mhe. Juma Ali Khatib, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Baadhi ya Viongozi walioteuliwa hivi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la M,apinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi.Mohammed Ramia Abdiwawa, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo.4-3-2019. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa, baada ya kumaliza kula kiapo, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Hati ya Kiapo Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa, baada ya kumaliza kula Kiapo, wakati wa hafla hiyo iliofanyika Ikulu Zanzibar.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora na Utumishi wa Umma Mhe.Haroun Ali Ali Suleiman, hafla hiyo imefanytika Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora.Mhe.Haroun Ali Suleiman, hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapindsuzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimpongeza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora.Mhe Haroun Ali Suleiman, akimkabidhi Hati yake ya Kiapo, wakati wa hafla kuwaapisha Viongozi aliowateua hivi karibuni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri, hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzinar.Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri, wakati wa hafla ya kuwaapisha Viongozi aliowateua hivi karibuni kushika nyadhifa hizo.
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Viongozi wa Dini wakifuatilia hafla ya kuapishwa Viongozi Walioteuliwa hivi karibu, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wac Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe. Khamis Juma Mwalim, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Khamis Juma Mwalim, akisaini Hati ya Kiapo, wakati wa hafla hiyo iliofanyika Ikulu Zanzibar.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said, wakati wa hafla hiyo iliofanytika Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Alim Mohamed Shein, akisaini hati ya Kiapo ya Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said, wakati wa hafla hiyo iliofanyika Ikulu Zanzibar leo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Hati ya Kiapo Naibu Waziri wa Eilimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said, baada ya kumaliza kula kiapo leo Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utawala Bora na Utumishi wa Umma Ndg, Yakout Hassan Yakout, wakati wa hafla hiyo iuliofanyika Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi hati ya Kiapo Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utawala Bora na Utumishi wa Umma Ndg. Yakout Hassan Yakout, baada ya kumaliza kula kiapo Ikulu Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Mkuu Katiba Sheria Ndg. Goerg Joseph Kazi, wakati wa hafla hiyo iliofanyika Ikulu Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi, Anayeshughulikia Mifugo na Uvuvi Dr. Omar Ali Amir,hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ndg. Seif Shaban Mwinyi,hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara Ardhi Nyumba,Maji na Nishati.Ndg.Salhina Ameir Mwita hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi, Anayeshughulikia Maliasili na Kilimo Bi. Mansura Mosi Kassim, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Mwanasheria Mkuu Mhe. Said Hassan Said na kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu na Kadhi Mkuu wa  Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, waliosimama nyuma kushoto Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Simai Mohamed Said, Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar,Mhe Balozi Mohammed Ramia d Abdiwawa,Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar,.Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri, Waziri wa Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ali Suleiman na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Khamis Juma Mwalim.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Mwanasheria Mkuu Mhe. Said Hassan Said na kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyewkiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu na Kadhi Mkuu wa  Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, waliosimama nyuma kushoto Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Ndg. Salhina Ameir Mwita Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ndg Seif Shaban Mwinyi, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi, Anayeshughulikia Mifugo na Uvuvi Dr.Omar Ali Amir, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Ndg.Yakout Hassan Yakout , Naibu Katibu Mkuu Wizara Kilimo, Maliasili Mifugo na Uvuvi Anayeshughulikia Maliasili na Kilimo Bi. Mansura Mosi Kassim na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. George Joseph Kazi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.