Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa
Uganda Sam Kutes a ambaye pia ni mjumbe maalum kutoka kwa Rais wa Uganda Yoweri
Museveni mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea barua
yenye ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Uganda Yoweri Museveni iliyowasilishwa
kwake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Sam Kutesa ambaye pia ni mjumbe
maalum kutoka kwa Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya kuwasili Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa
Mambo ya Nje wa Uganda Sam Kutesa wapili kutoka kushoto, Balozi wa Uganda hapa
nchini Richard Kabonero pamoja na Balozi Zuhura Bundala mara baada ya
mazungumzo na mjumbe huyo maalum Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri
wa Mambo ya Nje wa Uganda Sam Kutesa ambaye pia ni mjumbe maalum kutoka kwa
Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es
Salaam. wakwanza kushoto Balozi wa Uganda hapa nchini Richard Kabonero.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment