Habari za Punde

Waziri Mahmoud akagua kazi ya urudishaji asili ya Mkamandume

 GARI aina ya Isuzu ikibeba fusi linalotolewa katika mto wa maji chumvi unaofufuliwa katika eneo la Mkamandume, ili kuweza kurudisha hadhi ya mtu huo kama ulivyokuwa ukifanya kazi katika miaka ya 700 iliyopita, kazi hiyo ya urudishaji asili ya mkamandume inafanywa na Kampuni ya Shamjo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 Excavator kutoka kampuni ya Shamjo inayorudisha asili ya eneo la Makamandume, ikiwa inachimba mto wenye urefu wa kwenda chini mita tatu, ili maji chumvi yaweze kuingia katika eneo hilo kama ilivyokuwa katika kipindi cha utawala wa Mkamandume mwenye,kazi hiyo ya urudishaji asili ya mkamandume inafanywa na Kampuni ya Shamjo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo, akipata maeleo kutoka kwa injia wa ujenzi wa kampuni ya Shamjo Said Malik Said, juu ya kukirudisha upya wa asili kisima cha Wivu kilichomo katika eneo la kihistoria la Mkamandume, kazi hiyo ya urudishaji asili ya mkamandume inafanywa na Kampuni ya Shamjo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo, akisisitiza jambo wakati alipokwenda kukagua kazi ya ufukuaji wa mto wa asili wa kupitisha maji chumvi katika eneo la Mkamandume Wilaya ya Chake Chake, kazi hiyo ya urudishaji asili ya mkamandume inafanywa na Kampuni ya Shamjo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.