Habari za Punde

Kongamano la Kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Aman Karume lafanyika Zanzibar

Kaimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais ambae pia ni Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Dk Sira Ubwa Mamboya akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni Rasmi katika Kongamano la Kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Aman Karume katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul-wakil Kikwajuni mjini Unguja.
 Makamu wa Piliwa Rais Baloz Seif Ali Idi akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Kongamano la Kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Aman Karume katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul-wakil Kikwajuni mjini Unguja.

 Baadhi ya Washiriki waliohudhuria Kongamano la Kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Aman Karume katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul-wakil Kikwajuni mjini Unguja.
Mtoa mada Ali Shaaban Juma akiwasilisha mada kuhusiana na Wasifu wa Sheikh Abed Aman Karume katika Kongamano la Kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Aman Karume katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul-wakil Kikwajuni mjini Unguja.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.