Habari za Punde

MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA SENETI YA BURUNDI, REVERIEN NDIKURIYO

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Seneti ya Burundi, Mhe. Reverien Ndikuriyo kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, jijini Dodoma, 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Seneti  ya Burundi, Mhe. Reverien Ndikuriyo, ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 3, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.