Habari za Punde

Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba Wajumuika Katika Futari IWalioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Shein Skuli ya Mohammed Juma Pindua.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni katika Futari aliowaandalia katika viwanja vya Skuli ya Mohammed Juma Pindua Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba.
Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba wakiwa katika hafla ya futari walioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, iliofanyika katika Viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua Mkoani Pemba.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman akitowa neno la shukrani kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa hafla ya Futari walioandaliwa Wananchi wa Kijiji cha Mkayangeni Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba.
Wananchi wa Kijiji cha Mkayangeni Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman, baada ya kumaliza hafla ya futari ilioandaliwa kwa Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni iliofanyika katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua Mkoani Pemba. 
Mzee wa Kijiji cha Mkanyageni Mzee Khamis Amour akisoma dua baada ya kumalizika kwa hafla ya futari ilioandaliwa kwa Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua Mkoani.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Mzee Khamis Amour, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Shein, kwa Wananchi wa Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari iliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari aliowaandalia Wananchi, iliofanyika katika Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijumuika na Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni katika futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa Wananchi hao iliofanyika katika Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba kulia Mshauri wa Rais Afisi ya Rais Pemba Mhe.Dkt. Maud Abeid Daftari.
WANANCHI wa Kijiji cha Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman, akitowa neno la shukrani kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk. Ali Mohamed Shein, baada ya kumaliza hafla hiyo ya futari iliofanyika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.