Habari za Punde

Siku Ziki Katika Mwisho ya Mfungo wa Mwezi Mtikufu wa Ramadhani Wananchi Wakiendelea na Maandalizi ya Sikukuu.

Muonekano wa Mtaa wa mchangani kisiwani Zanzibar, jinsi wananchi wakiwa katika harakati za kutafuta mahitaji ya nguo na vifaa vyengine kwa ajili ya maandalizi ya kusherehekea Sikukuu ya Eid Fitry baada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani wiki ijayo baada ya muandamo mwa wezi.
Kipindi hichi biashara za nguo na mapambo ya nyumbani imekuwa biashara kubwa kwa wananchi ili kupata mahitaji hayo kwa Watoto wao na kupamba nyumba zao. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.