Wananchi Kisiwani Pemba wakiwa katika harakati za hapa na pale katika Mji wa Chakechake Pemba asubuhi hii kwa shughuli mbalimbali za Kimaendeleo katika marikiti Kuu ya Chake asubuhi hii kama inavyoonekana, nikiwa katika mizunguko yangu hii leo na kujionea hali hii,
BAJETI YA TAMISEMI YAWAPA TUMAINI WANAHARAKATI WA JINSIA
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
ONGEZEKO la fedha shilingi Trilioni 10 kwenye bajeti ya Wizara ya Tamisemi
imeibua matumaini kwa Wanaharakati wa masuala ya...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment