Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein Ajumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja Katika Futari Aliowaandalia Katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa (SUZA) Tunguu Mkoa wa Kusini UngujaGr

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Mhe.Kitwana Idrisa alipowasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa Tunguu kuhudhuria hafla ya futari maalum aliowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja.kulia Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika hafla ya futari aliowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa (SUZA ) Tunguu Zanzibar Wilaya ya Kati Unguja.kushoto Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hassan Khatib Hassan na kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ndg. Ramadhan Ali. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.