Habari za Punde

Waziri Mkuu Asalimiana na Wachezaji wa Timu ya Geita Gold Mine Katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Geita Gold Mine kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na wanakwaya wa Kanisa la Wasabato la Mongolandege katika Jimbo la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 24, 2019. Wanakwaya hao walikwenda Bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wao, Mwita Waitara ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na wanakwaya wa Kanisa la Wasabato la Mongolandege katika Jimbo la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 24, 2019. Wanakwaya hao walikwenda Bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wao, Mwita Waitara (kulia) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanakwaya wa Kanisa la Wasabato la Mongolandege katika Jimbo la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 24, 2019. Kulia kwake ni  Mbunge wa Ukonga na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mwita Waitara.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  na wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dodoma kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 24, 2019. Wanachuo hao walikwenda Bungeni kujifunza
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  na wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dodoma kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 24, 2019. Wanachuo hao walikwenda Bungeni kujifunza.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.