Habari za Punde

Air Tanzania Boing 787-8 Yawasili Nchini India na Kuzinduliwa na Waziri wa Ujenzi ,Uchukuzi, na Mawasiliano English.Isaack Kamwele.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Injinia Isaack Kamwelwe akikata utepe muda mfupi baada ya Ndege ya Air Tanzania Boing 787-8 Drealiner kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chhatrapati Shivaji, Mumbai nchini India alfajiri ya leo Julai 18, 2019. Ndege hiyo imeanza safari yake ya kwanza ya kutoka nje ya bara la Afrika huku zingine zikitazamiwa siku za mbeleni. Hii ni safari ya sita kwa safari za kimataifa kwa Ndege za Air Tanzania.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.