Habari za Punde

Mkutano wa uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania wa Mwaka 2016/2017


 KAIMU Mtakuwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar Abdurauf Abeid, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania wa Mwaka 2016/2017, huko katika ukumbi wa Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 AFISA Mdhamini Wizara ya Afya Pemba Shadia Shaban Seif, akifungua  wa uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania wa Mwaka 2016/2017, uliowashirikisha watendaji kutoka taasisi mbali mbali za Serikali na kufanyika katika ukumbi wa Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)



AFISA kutoka Kitengo Shirikishi Homa ya Ini, Kifua kikuu na Ukoma (ZIHHTLP) Zanzibar Damian Jeremia, akiwasilisha  Ripoti ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania wa Mwaka 2016/2017,  kwa watendaji kutoka taasisi mbali mbali za Serikali na kufanyika katika ukumbi wa Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA


 AFISA kutoka Tume ya Ukimwi Zanzibar Halima Ali Mohamed, akionyesha kiwango cha unyanyapaa kwa watu wanaishi na maambuzikizi ya VVU, katika mkutano wa uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania wa Mwaka 2016/2017, huko katika ukumbi wa Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAKILISHI kutoka Tume ya Ukimwi Pemba Ali Mbarouk Omar, akichangia wakati wa uwasilishaji wa Ripoti ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania wa Mwaka 2016/2017, huko katika ukumbi wa Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.