Habari za Punde

Tujikumbushe Ziara ya Naibu Waziri Subira Mgula Akikagua Miradi ya REA Kigoma

Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu akionyesha kifaa maalum cha kuunganishia umeme kwenye nyumba ambazo hazijawekewa mfumo wa kusambazia umeme kijulikanacho kama Umeme Tayari (UMETA) wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nyange wilayani Kibondo mkoa wa Kigoma hivi karibuni. Naibu Waziri Mgalu alikuwa katika ziara yake ya kukagua miradi ya usambazaji wa umeme vijini inayotekelezwa na Serikali kupitia Wakala wa Umeme Vijijini (REA) ambapo jumla ya vijiji 129 vinasambaziwa umeme mkoani humo.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu akiwasha umeme kwenye moja ya saluni ya mteja aliyeunganishiwa umeme katika kijiji cha Nyange wilayani Kibondo wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa kusambaza umeme vijiji vya wilaya za Kibondo, Kasulu na Buhigwe  mkoani Kigoma hivi karibuni. Naibu Waziri Mgalu alikuwa katika ziara ya siku tatu kukagua miradi ya usambazaji wa umeme vijini inayotekelezwa na Serikali kupitia Wakala wa Umeme Vijijini (REA) ambapo jumla ya vijiji 129 vinasambaziwa umeme mkoani humo. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Loyce Burra.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu (wapili kulia) akisikiliza maelezo toka kwa Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Loyce Burra (kushoto) mara baada ya kuwasha umeme katika Zahanati ya Kijiji cha Nyange na Saluni ya mkazi wa kijiji hicho wakati ziara yake ya kukagua miradi ya usambazaji wa umeme vijini mkoani Kigoma inayotekelezwa na Serikali kupitia Wakala wa Umeme Vijijini (REA) ambapojumla ya vijiji 129 vinasambaziwa umeme mkoani humo. 
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu wakati wa mkutano wa hadhara katika kikiji cha Ruhita wilayani Kasulu wakati wa ziara yake ya kikazi kukagua maendeleo ya miradi ya usambazaji wa umeme vijini inayotekelezwa na Serikali kupitia Wakala wa Umeme Vijijini (REA) ambapo jumla ya vijiji 129 vinasambaziwa umeme mkoani humo. Ambapo katika wilaya za Kibondo na Kakonko vijiji 129, Kasulu, Buhigwe, Kigoma Vijijni na Uvinza 60. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Kanali Simon Anange na Meneja wa Tanesco mkoa wa Kigoma, Masangija Lugata. 
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu akisikiliza maelezo ya Mkandarasi wa Usambazaji Umeme katika vijiji vya Wilaya za Kasulu, Buhigwe na Uvinza Kampuni ya CCCE – ETERN wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa kusambaza umeme katika vijiji vilivyopo katika Mpango wa Usambazaji Umeme Vijijini Awamu ya Tatu mzunguko wa kwanza (REA III) mkoani Kigoma hivi karibuni. 
Kaimu Mkuu wa Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa, Mtabira 825 KJ kilichopo wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Meja Peter Lyanga akizungumza walipotembelewa na Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu kwa lengo la kujionea maendeleo ya usambazaji umeme katika Kikosi hicho hivi karibuni. Naibu Waziri Mgalu alikuwa katika ziara ya siku tatu kukagua miradi ya usambazaji wa umeme vijini inayotekelezwa na Serikali kupitia Wakala wa Umeme Vijijini (REA) ambapo jumla ya vijiji 129 vinasambaziwa umeme mkoani humo. Kibondo vijiji 40, Kakonko vijiji 29, Buhigwe 21, Kasulu 12 Uvinza 10 na Kigoma vijijini 17
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu akizungumza na vijana wa program ya hiari wa Jeshi la Kujenga Taifa alipotembelea Kambi ya Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa, Mtabira 825 KJ kilichopo Kasulu mkoani Kigoma kwa lengo la kujionea maendeleo ya usambazaji umeme katika Kikosi hicho hivi karibuni. Naibu Waziri Mgalu alikuwa katika ziara ya siku tatu kukagua miradi ya usambazaji wa umeme vijini inayotekelezwa na Serikali kupitia Wakala wa Umeme Vijijini (REA) ambapo jumla ya vijiji 129 vinasambaziwa umeme mkoani humo.

Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu akizungumza na vijana wa program ya hiari wa Jeshi la Kujenga Taifa alipotembelea Kambi ya Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa, Mtabira 825 KJ kilichopo Kasulu mkoani Kigoma kwa lengo la kujionea maendeleo ya usambazaji umeme katika Kikosi hicho hivi karibuni. Naibu Waziri Mgalu alikuwa katika ziara ya siku tatu kukagua miradi ya usambazaji wa umeme vijini inayotekelezwa na Serikali kupitia Wakala wa Umeme Vijijini (REA) ambapo jumla ya vijiji 129 vinasambaziwa umeme mkoani humo

Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu akiwasha umeme akiwasha umeme katika jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya mardi wa usambazaji umeme vijijini mkoani humo hivi karibuni. Naibu Waziri Mgalu alikuwa katika ziara ya siku tatu kukagua miradi ya usambazaji wa umeme vijini inayotekelezwa na Serikali kupitia Wakala wa Umeme Vijijini (REA) ambapo jumla ya vijiji 129 vinasambaziwa umeme mkoani humo.
Mbunge wa Jimbo la Manyovu -Buhigwe mkoani Kigoma, Mhe. Albert Obama akimshukuru Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu (katikati) kwa niaba ya Serikali kutokana na hatua za kusambaza umeme katika vijiji vya wilaya ya Buhigwe wakati wa ziara ya kukagua miradi ya usambazaji wa umeme vijini inayotekelezwa na Serikali kupitia Wakala wa Umeme Vijijini (REA) ambapo jumla ya vijiji 129 vinasambaziwa umeme mkoani humo. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe, Kanali Michael Ngayauma.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.